Baada ya maneno kibao kupitika mitandaoni kuihusu nyumba mpya ya msanii Diamond Platnumz iliyopo
nchini Afrika kusiki jana mkali huyo ameamua kuianika nyumba hiyo na
kutoa maneno kuntu yanayo daiwa kuwa ni vijembe kwa watu.
Ni kupitia mtandao wa Instagram ambako msanii Diamond Platnumz aliamua
kuitumia page yake kama njia ya kufikisha ujumbe kwa walengwa baada ya
kupost videos kadhaa zikionyesha sehemu tofauti tofauti za ndani na nje
ya mjengo huo.
Wacha nikupe nafasi ya kuzisoma posts 4 kali ambazo zilizua gumzo katika mtandao huo wa instagram usiku wa jana.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon