
Donald Trump Vs Hillary Clinton
Mgombea wa urais kupitia
tiketi ya chama cha Democrat nchini Marekani Hillary Clinton amesema
kuwa hatojali tena kile kitakachosemwa na mpinzani wake Donald Trump na
badala yake ameamua kuangazia sera zake katika kampeni.Hillary
Clinton''Tulijadiliana naye kwa saa nne na nusu'',alisema akikumbuka
mjadala wao wa wiki iliopita.''Sifikirii tena kurushiana naye
maneno''.alikuwa akizungumza katika ndege yake ya kampeni.Bwana Trump
alitumia mkutano wake huko Gettysburg kuahidi biashara mpya pamoja
mazungumzo kuhusu mabadiliko ya tabia nchi.Donald Trump
Ikiwa imesalia siku 16 hadi uchaguzi,mambo mengi yameangazia utata wake unaohusishwa na kampeni yake.
Siku ya Jumamosi
,aliahidi kuwashtaki wanawake wote waliomtuhumu kuwanyanyasa kingono
wakati atakapokamilisha kampeni yake ya urais.
Huku akiwa yuko nyuma ya Clinton kwa umaarufu alipunguza pengo hilo kwa asilimia 4.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon