"Nasikitishwa na matumizi mabaya ya picha zangu mtandaoni hususani watu kunilisha maneno kutaka kutimiza malengo yao ya kisiasa. Nimestaafu naomba niachwe nipumzike. Nisingependa kuhusishwa na siasa za mtandaoni dhidi ya Serikali. Namuunga mkono Rais na Serikali yake"
Hivi karibuni Kikwete alinukuliwa akitoa kauli tata iliyizua gumzo mtaani hasa pale aliposema "Ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yako yawe mapya".
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon