RAP STAR MTATA NEY WA MITEGO AMUWAKIA IDRIS SULTAN KUHUSU MILLIONI 500 ALIZOSHINDA BIG BROTHER LIVE!!

1477549906092.jpg
Baada ya idris sultan kuonekana kufulia mjini msanii ney wa mitego ameibuka na kumuuliza idris sultani kuhusu milioni 500 alizoshinda kwenye big brother

 

Ney wa mitego" baada ya kushinda big brother watu wadau walimkanya kuhusu wacheza sinema wa bongo, ila inabidi atuambie pesa nyingi zile milion 500 zimeisha ishaje fasta hizi kijana mwenzetu, milioni 500 si mchezo, idris tuambie zimeishaje?
Previous
Next Post »