
Meneja Uwekezaji Kimataifa
wa Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC), Zacharia Kingu akifafanua jambo
wakati akielezea fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana nchini kwa
Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Abu Dhabi, walietembelea Kituo hicho
leo Oktoba 27, 2016.
Mkurugenzi Mtendaji wa
Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari akiteta jambo na
Mkurugenzi wa Mambo ya Nje kitengo cha Mashariki ya Kati, Balozi
Abdallah Kilima, katika Mkutano ulioikutanisha TIC na Ujumbe wa
Wafanyabiashara kutoka Abu Dhabi, walietembelea Kituo hicho leo Oktoba
27, 2016.
Mkurugenzi Mtendaji wa
Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari akizungumza katika
Mkutano na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Abu Dhabi, walietembelea
Kituo hicho leo Oktoba 27, 2016.
Afisa Masoko Mkuu wa Bodi
ya Utalii Tanzania, Vedastus Mwita akielezea fursa ya utalii nchini kwa
Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Abu Dhabi, walietembelea Kituo cha
Uwekezaji Nchini leo Oktoba 27, 2016.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji nchini wakiwa kwenye Mkutano huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa
Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari (katikati) akiwa
katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Abu Dhabi,
waliotembelea Kituo cha Uwekezaji Nchini leo Oktoba 27, 2016. Kushoto
kwake ni Balozi wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim Al-Suwidi na kulia
kwake ni Kiongozi wa Msafara huo, ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Abu Dhabi
Fund For Development, Mohamed Al Suwaidi.
Sign up here with your email





ConversionConversion EmoticonEmoticon