Mode
Calisah ameachiwa jioni hii baada ya siku ya jana kushikiliwa na jeshi
la polisi kwa tuhuma za kusambaza mitandaoni video ya utupu ya Wema
Sepetu.Akiongea na Bongo5 jioni kwa njia ya simu wakati akielekea nyumbani kwake,
“Kweli nilikamatwa toka jana lakini nimeachiwa,” alisema Calisah.
Pia model huyo amesema atatoa taarifa zaidi ya nini kinaendelea kuhusu suala hilo.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon