Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa Channel mpya ya DSTV kwa ajili ya East
Africa inayoitwa Trace Muziki Kwa ajili ya kupiga ngoma za wanamuziki wa
kutoka afrika mashariki, lakini nimekuwa disappointed kwani wanarudia
nyimbo mpaka zinaboa, ni kama wana play list ya wasanii wachecha ambao
wamewalipa kurudia nyimbo zao kila wakati..najua Afrika mashariki kuna
wanamuzki wengi tu lakini walioko kwenye rotation yao hawazidi kumi hasa
wakenya...
Badilikeni....KIFUPI MNABOA tunawanamuziki wengi sana East africa najua mnatumiwa kazi nyingi sana mnazitia kampuni....
DSTV tunahitaji burudani Badilikeni basi tuendelee kuwatazama
By Mdau
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon