Video ya ‘Salome’ Ndio Video Niliyolipwa Pesa Ndefu Kuliko Zote - Hamisa Mobetto
Modo wa kike kiwango Bongo, Hamisa Mobeto, amesema kuwa alilipwa pesa nyingi mno kuonekana kwenye ...
Modo wa kike kiwango
Bongo, Hamisa Mobeto, amesema kuwa alilipwa pesa nyingi mno kuonekana
kwenye video ya wimbo wa ‘Salome’ wa Diamond Platnumz.
Akizungumza kupitia
kipindi cha The Playlist cha Times Fm, Hamis amedai ndiyo video
aliyolipwa mkwanja mrefu zaidi kuliko zote alizowahi kuzifanya. “Siwezi
sema ni kiasi gani ila ni a lot of money” alisema Mobeto.
Katika Hatua nyingine
modo huyo wa kimataifa ameitaja Video ya Barnaba ‘Magube gube’ kuwa ndio
video aliyolipwa pesa ndogo kuliko zote alizowahi ‘kuuza nyago’.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon