Nikimuona Diamond na kina Kiba na wanamuziki wengine wakila bata najua
ni mziki wao unawalipa. Ila kuna hawa watu maarufu huko Instagram kama
kidada fulani Tunda na wengine, picha zao zimekaa kibatabataaa lakini
niulize huwa wanafanya kazi gani maana hata kama ni kuimba kama hata
wamewahi jaribu bado hawana majina makubwa, hawaonyeshi kumiliki labda
hata mabiashara.
Hebu jamani kama wapo humu watuambie kazi zao maana hata kulalama njaa kama wengine wanaolialia hawasikiki.
Tafakuri tu japo ni maisha ya watu hayanihusu
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon