Majibu ya Jux Alipoulizwa Kama ana Mpango wa Kumuoa Vanessa au Kuzaa Nae 01:44 Msanii Jux amejibu kuwa hajui kama atakuwa na mtoto na Vanessa wala hajui kama atamuoa, ila amesema Vanessa amemsaidia kwenye maisha yake kwa kuwa kuna vitu anavijua na yeye havijui Msikie Hapa: Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon