Lengo ni kukomesha utoro na mimba mashuleni
- mafataki wote wafikishwe kwenye vyombo vya sheria
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Amos Makalla Amewataka watendaji wa Vijiji na Kata kuhakikisha watoto
wote wanao stahili kuwa Shule wawe Shule na Amewataka watendaji hao
wakomeshe utoro na mimba kwa wanafunzi

Hayo ameyasema Leo
wilayani MBARALI alipoongea na watendaji wa Vijiji na kata na kuwaeleza
kuwa Shule hizi zipo kwenye maeneo yao YA kazi ni wajibu wao kuhakikisha
wanashiriki ana na wazazi watoto wote waende Shule
Aidha anewataka kupambana kwa mujibu wa sheria kwa wake wote wanawapanga mimba wanafunzi na kuwafikisha ktk vyombo vya sheria

Pia Amewataka waratibu wa Elimu kufuatilia walimu wanafundisha kwa mujibu Ratiba YA vipindi ilivyowekwa



Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon