MREMBO Tunda Afunguka Kuhusu Mpenzi Wake Young Dee Baada ya Kurudiana

Huwenda rapa Young Dee amerudia na mpenzi wake wa zamani Tunda. Kwani wawili hao kwa sasa wapo karibu zaidi kiasi cha kushauriana baadhi ya mambo.

Hivi karibuni katika mitandao ya kijamii zilizagaa taarifa ya kuwa wawili hao wamerudiana.

Jumatatu hii kupitia istagram, Tunda ameandika:
“Think Positive and Positive things will happen. I am so proud of you, umeweza kubadilisha maisha yako, umekuwa mfano mzuri wa kuigwa! You’ve changed my life, i know bado sijafikia 100% but i promise kufuatisha ushauri wako and become a better me everyday. i Pray everyday Mungu azidi kukuongoza katika njia salama… You’re so blessed!,”
Previous
Next Post »