Ni
katika mtandao wa Instagram ambako mwanadada Linah aliamua kukata
mshipa wa aibu kwa muda na kuamua kuposti picha inayomuonyesha akila
busu kali kutoka kwa mpenzi wake mpya.
Picha iliyopostiwa na mwanadada Linah
Shilole
hakutaka kusubiri hata dakika ipite baada tu ya kukutana na picha hiyo,
na kuamua kuacha ujumbe mzito kwenye uwanja wa comments kuhusu penzi
hilo jipya la mwanadada Linah.
Comment ya Shilole
Ninachotaka
tukijadili mimi na wewe mshkaji wangu ni hiki hapa-: Vipi kuhusu zile
picha na mavideo ya mdogo wetu Hamadai? Au ndo ameshapewa cha mbavu? Au
zilikuwa ni kiki? Niachie comment yako hapa chini kwenye uwanja wa
comments.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon