

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akajadiliana jambo na Mfalme wa Morocco Mohamed VI kabla ya kuagana nae
katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA)
jijini Dar es Salaam.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea
Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati alipowasili katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.



Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Mfalme wa Morocco Mohamed VI kabla ya kuagana nae katika
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar
es Salaam.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Mfalme wa Morocco Mohamed VI mara baada ya kumaliza ziara yake ya
kikazi jijini Dar es Salaam.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakiangalia bendi ya matarumbeta
iliyokuwa ikitumbuiza katika ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati nyimbo za Taifa zikiwa
zinapigwa katika ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA)
jijini Dar es Salaam.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga
mkono kuagana na mgeni wake Mfalme wa Morocco Mohamed VI aliyemaliza
ziara yake ya kikazi na kuondoka jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon