Alikiba amedai kuwa collabo si kitu kilichopo kwenye menu yake.
Akiongea
na mtangazaji wa Times FM, Lil Ommmy kwenye red carpet za MTV MAMA
jijini Johannesburg, Afrika Kusini Jumamosi iliyopita, aliyemuuliza
iwapo ametumia fursa hiyo kuzungumza na wasanii mbalimbali wa Afrika
kuhusu collabo.
Ali Kiba
Kiba alidai kuwa mipango yake ni kufanya muziki mzuri.
“Hiyo sio focus yangu, focus yangu ni kufanya muziki mzuri,” alisema Alikiba.
Muimbaji huyo alikuwa ametajwa kuwania vipengele viwili akiwa na Sauti Solkupitia wimbo wao Unconditionally Bae.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon