November
19, 2016 Kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Ester Bulaya
iliyofunguliwa na wapiga kura wa jimbo la Bunda dhidi ya aliyekua
mgombea wa CCM Stephen Wasira ilitolewa hukumu yake ambapo Mahakamu Kuu
ilimpa ushindi na kumthibitisha Ester Bulaya kuwa Mbunge halali.
Mshindi wa
Ubunge wa jimbo hilo Ester Bulaya amezungumza kuelezea jinsi
alivyoyapokea maamuzi ya Mahakama Kuu chini ya Jaji Noel Chocha juu ya
kesi ya kupinga matokeo iliyofunguliwa na wapiga kura wanne wa mgombea
Stephen Wasira.
“Kiukweli
namshukuru sana Mungu, na wananchi wa jimbo la Bunda Mjini kwasababu
walishaamua na mahakama imeamua lakini kwa uvumilivu wao na hivi
ninavyozungumza kuna watu wametoka Musoma kwa miguu mpaka Bunda
wakishangilia ushindi wa Mbunge wao” – Ester Bullaya
Stori
kamili kuhusu maamuzi ya Mahakama Kuu, kauli za Mawakili wa pande zote
na Mbunge Ester Bulaya ziko kwenye Video hii. Bonyeza Play kutazama.
VIDEO: Tamko lingine la Jeshi la Polisi kuhusu wananchi ambao hawajasalimisha Silaha
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon