KAMPUNI ya Maltichoise
nchini Tanzania kupitia King’amuzi cha DSTV imefanya mapinduzi ya bei
mpya ya vifurushi vyake mbalimbali pamoja na DSTV Bomba kilichopunguzwa
kwa asilimia 15 kutoka shilingi 23500 hadi shilingi 19950/=.
Kampuni hiyo yenye kauli mbiu ya zamu yetu imefanya punguzo kubwa la bei na kuongeza idadi ya chanel.
Akizungumza na waandishi
wa habari leo Baracka Shelkindo Meneja Uendeshaji wa kampuni ya
Multchoice, katika uzinduzi wa bei hizo mpya uliofanyika jijini Dar es
Salaa, amesema kuwa dhamira yao ni pamoja na kupunguza bei ya vifurushi
na kuongeza channel ili kuwanufaisha wateja wao
ALPHA MRIA MENEJA MASOKO DSTV |
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon