Na Sosy
MSANII chipukizi wa Bongo Flava dogo janja amefunguka
aina ya mwanamke anayemzimia katika maisha yake.
Dogo janja amesema hayo leo alipotembelea kituo cha
televeshion cha Afrika Swahili Tv Sinza jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo dogo janja anayetajwa kutamani maisha ya
ndoa amekiri kuwa na mpango huo lakini akiwa karibu kutimiza azma hiyo ataweka
wazi.
Janja ambaye anadai kuwa haimini katika kiki amesema kuwa anataraji kuachia ngoma mpya mwishoni mwa mwezi huu ambayo itakuwa surprise.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon