Mwanamuziki Diamond Platnumz ametangaza kwa mara ya kwanza kuwa lebo
yake imeingia partnership na lebo kubwa ya Muziki Duniani inayojulikana
Kama Universal Music, Lebo hiyo itakuwa inasambaza kazi za Wasanii wote
wa WCB na Mkataba wake adai amelipwa Dola Milion Moja...
Diamond Ameongea hayo katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM,,,
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon