
Mwigizaji Nishabebee Anaendelea kufunguka kuhusu ujauzito wake kupitia
ukurasa wake wa Instagram, Hapa chini ameongelea mazingira aliyopata
hiyo mimba:
"Mtu pekee anayejua ukweli ni mimi.. pengine kweli nimekosea kwa kuweka hapa na kusema nanunua hadi sabuni ya boxer.
Ila kama ungevaa kiatu changu ungejua nnayopitia wkt huu.
coz ni kipindi ambacho siwezi vumilia kero wacha niwe mkweli wa hili,ni
bora uwe na mtu ambaye mko kwenye mahusiano ndo akakupa mimba,kuliko
hamko kwenye mahusiano akatumia rafiki zako anataka kukuona then kwa
suprise akaja ukashindwa mfukuza coz hamkuachana kwa ugomvi na was like
hamna kinachoendelea then rafiki yako alipoondoka akakubaka kisa tu ana
nguvu za kukumiliki na anajua udhaifu wako.
Kinachoniuma zaidi zaidi ni kuwa kwenye mahusiano mengine na kupata
mimba ya mwengine wakati uhusiano ulikwisha kwisha na akamove on na
mwingine na mm niko ok kwa hilo ilhali yalisemwa mengi ya uongo na mm
nikajitajidi kutofichua siri za niliyewahi kumpenda.
i've been through a lot... FUC.K U AND I HATE U FOR THIS" Nisha
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon