
Msanii
wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya Tanzania kwa kupitia songi
lake jipya linalokwenda kwa jina la "I'M SORRY MAMA" mwanadada Chemical,
amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi tangu azaliwe).
Chemical
ameongea hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha D'WIKEND CHATSHOW
kinachorushwa kupitia clouds tv. Chemical ameongeza, licha ya kuwa
bikira hajawahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja(ulesbian).
Vilevile
ameongezea, yeye hana gharama kabisa, kwasababu hatumii mavitu ya
gharama kama wadada wa mjini(hapaki miwanja, haweki manywele ya bandia,
na makororo mingine ya thamani) ambayo wadada wa mjini wamekuwa
wakitumia.
Pichani msanii chemical akiwa na msanii mwezake wa bongo muvi bibie wema sepetu
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon