Msanii
wa muziki wa Singeli Tamimu Mshauri Salum akiwapagawisha mashabiki wa
muziki huo kwenye tamasha Mziki Mnene linalodhaminiwa na Vodacom
Tanzania na kufanyika katika viwanja vya Gonga Ukonga jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi
ya wakaazi wa Ukonga jijini Dar es Salaam wakipagawa na mziki wa kizazi
kipya wa Singeli wakati wa tamasha la Mziki Mnene lililofanyika katika
viwanja vya Gonga na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki.
Msanii
chipukizi wa mziki wa Singeli mkazi wa Ukonga jijini Dar es
Salaam,Aaron Chiwaz akiwapagawisha wakazi wa mji huo kwenye tamasha
Mziki Mnene linalodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika
viwanja vya Gonga Ukonga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon