WCB wanayofuraha kutualika kuitazama video mpya ya kijana wao Rich
Mavoko ambayo kamshirikisha Boss wake Diamond Platnumz, ukishamaliza
kuitazama video hii ni ruhusa kuacha na comment yako umeionaje na wimbo
wenyewe ili wakipita baadae wajue watu wao wameipokeaje.
ConversionConversion EmoticonEmoticon