Waziri
wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza
na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Bw. Song, Geum-young
alipomtembelea ofisini kwake mapema leo (17/11/2016) jijini Dar Es
Salaam. Wengine pichani ni Msaidizi wa Balozi Bw.
Song Wong (kulia) na Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Bw. Abdala Kirumbu (kushoto).
Waziri
wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto)
akimsikiliza Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Bw. Song, Geum-young
alipomtembelea ofisini kwake leo (17/11/2016) jijini Dar Es Salaam.
Waziri
wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto)
akiwaonesha Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Bw. Song, Geum-young
na Msaidizi wake Bw. Song Wong ramani ya Mkoa wa Mbeya na kuwakaribisha
kutembelea vivutio vya Mkoa huo ikiwemo Ziwa Nyasa.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon