Na Sosy
MSTAHIKA meya wa
jiji la Arusha Kalisti Lazoro akubali na kupungeza utendaji wa mteuzi wa Rais John Magufuli
Mkurugenzi wa Jiji hilo Athumani Kihamia.
Meya huyo
ameridhiswa na majibu ya mkurugenzi huyo ambayo yalikuwa yanamantiki.
Meya
Lazoro
amethibitisha hayo leo katika Kikao cha Baraza la Madiwani Mstahiki Meya
wa
Jiji la Arusha Mhe. Kalisti Lazaro Bukhay amempongeza Mkurugenzi Kahama
na Menejiment ya Manspaa hiyo kwa kujibu vyema hoja Za kamati ya Bunge
ya Hesabu
Za Serikali Za Mitaa.
Lazaro
alichaguliwa kuwa Mstahiki meya wa Jiji Hilo kupitia Tiketi ya chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon