
Msanii Nisha kwa mara nyingine tena amepata title ya u 'single parent'...
Ni baada ya kupewa mimba na kisha kuachana na baby dady wa kijacho hiko bila hata kusubiri mrembo huyo ajifungue...Ila
Nisha kasema haina noma kama yule wa kwanza alimlea bila msaada wa baby
dady, huyu ataanzaje kushindwa?Huu Hapa Ujumbe wa Nisha Kwa Aliyempa
Mimba na Kusepa:

Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon